Virunga Energies ya gawa umeme bora na ya bei rahisi kutoka viwanda vyake vya Matebe (megawati 13.1), Mutwanga (megawati 1.4) na Luviro (megawati 14.6), na hivi majuzi, Rwanguba, MW 14 kwa turbine yake ya kwanza (iliyoagizwa Mei 2025), kampuni imekuwa msambazaji mkuu wa umeme katika jimbo hili kwa sababu inatoa nishati ya bei nafuu hata katika maeneo ya mbali ya Kaskazini na Kaskazini mwa Kivuto. ya maeneo haya Virunga Energies inahesabu kati ya kaya za wateja wake, biashara ndogo na kubwa
Katika mpango wake waki jamii, Virunga Energies ya weka taa za barabarani kwa bure na ku saidiya ku boresha usalama. shirika za serikali na za kijamii, ma hospitali na shule za bahatika pia kupata umeme kwa bure.