Frequent Asked Questions

A.

Njia ime rahisishwa ili ku ruhusu watu wengi kupata umeme. Fwata njia zifuatazo ili kupata umeme:

  1. Kuwa na nyuma inayo kuwa kando ya poteau kwa umbali usio zidi mita 50
  2. Kujaza naku sahini kibarua cha kuomba umeme
  3. Kupana vikartasi vifwatavyo:
    1. Kikaratasi cha umilika wa kiwanja
    2. Kitambulisho cha uraia
    3. Kikaratasi kinacho onesha namna gani singa zimefungwa ndani ya nyumba
    4. Maoni mazuri yaku pewa umeme kutoka ofisi jimboni ya umeme

4. Kufikia kiwango hiki, mteja anasaini mkataba wa kuomba umeme na kulipa pesa

5. Kisha, mteja hupewa umeme

6.Hatimaye, mteja na mwakilishi wa Virunga Energies wanajaza na kusaini fomu ya kuhakikisha mwisho wa utaratibu

A.

  • Ikiwa tayari umeme imekatika, lazima kwanza ubonyeze kitufe cha kuwasha kibodi kwa muda mrefu huku ukiacha kibodi iki chomekwa kwenye tundu lake; kisha ingiza msimbo wa namba 20 zinazo patikana kwenye tiketi yako
  • Ikiwa bado umeme haujakatwa na kibodi imewashwa, ingiza tu msimbo wa tarakimu 20 inayopatikana kwenye tiketi

A.

  • Unapaswa kuweka kibodi kwenye tundu lingine katika nyumba moja
  • Ikiwa kibodi bado haiwasiliani na tayari umeme ume kata, lazima uweke kibodi kwenye tundu la jirani ambaye mumechukuwa umeme toka poteau moja

A.

Ikiwa tayari umeme imekata, ni muhimu kuangalia ikiwa betri bado haijapunguzwa.  Ikiwa betri ni nzuri, piga simu kwa Kituo cha Simu (+243 996 080 540)

A.

  • Inabidi kununua kibodi mpya toka Virunga Energies; na wakati wa kusubiri kuweza kupata, ni muhimu ku nunua KWh za kutosha

A.

  • Lazima uibonye kwa bidii
  • Ikiwa bado hazifanyi kazi, piga simu kwa Kituo cha Simu (+243 996 080 540)

A.

  • Ikiwa kibodi inaandika dUPL, basi token tayari ime tumikishwa
  • Ikiwa inasema REJECT, angalia ikiwa nambari ni sahihi au ikiwa nambari ina ambatana na mita yako
  • Uki kutana na changamoto nyingine mbali mbali na hizi mbili, lazima upigie Kituo cha Simu (+243 996 080 540)

A.

Lazima ununue Kibodi mpya kwenye ofisi ya biashara ya Virunga Energies

A.

Nenda tu kwa ofisi ya biashara ambayo itatoa token mpya

A.

Inaweza kupatikana kwenye mojawapo ya tiketi ulizo nunua awali au kwa kufinya kitufe cha INFO (i), kisha piga 000 na hatimaye ubonyeze Enter

A.

Unapaswa kulipa kwa uunganisho mpya wa awamu tatu na kutimiza masharti anayotakiwa