Virunga Energies na mwenzake wa Virunga Developpement wanazipatia makampuni kubwa:

  01
  Umeme wa kuaminika kwa bei rahisi
 • 01
  Umeme wa kuaminika kwa bei rahisi

  Zaidi ya bei rahisi ya kupangisha ($0.4/m² mjini Mutwanga na 0.7 $/m² katika eneo la Goma) na upatikanaji wa maji na umeme pamoja na hakikisho la usalama, mteja hufanikiwa na.

   

 • 02
  Urahisi wa kupata mikopo
 • 02
  Urahisi wa kupata mikopo

  Kutokana na ushirikiano kati ya Virunga na Benki ya Equity BCDC: mkopo hutegemea ukubwa wa kampuni na sekta yake ya shughuli. Makampuni kadhaa makubwa, hadi sasa, ya faidika na mpango huu kwa mikopo ya hadi $200,000.

 • 03
  Malipo ya deni na kiwango bora cha faida
 • 03
  Malipo ya deni na kiwango bora cha faida

  Kiwango cha riba cha kila mwezi ni 0.8% ya kiasi kinachobakia na marejesho hufanywa kwa njia ya manunuzi ya umeme (kwa kila ununuzi wa umeme, sehemu ya jumla hutengwa kwa ulipaji wa mkopo na iliyobaki kwa umeme kulingana na kiwango cha makubaliano kati ya Virunga Development na mteja).

Jinsi Yakuwa Mteja Wetu

Masharti kwaku pata umeme yanajadiliwa na kuwekwa kwa msingi wa upeke wa kila kampuni ku fwatana na:

 • Vifaa vinavyo hitajika;
 • Kiasi cha umeme unao hitajika;
 • Umbali wa kampuni na kituo cha umeme.

Beyi ya raccordement Beyi  ya kWh Gharama ya kuhifadhi
Voltage ya kati – 33 kV Ku fwatana na makadirio ya bei toka Virunga Energies 0.1486$ / kWh $42.2 kwa kuhifadhi kilowati 1 kwa mwaka

Wasiliana nasi

Jina(Required)