Tunapatia wateja wetu umeme unao heshimu mazingira, waku aminika na wa bei rahisi

  01
  Umeme unao heshimu mazingira
 • 01
  Umeme unao heshimu mazingira

  Umeme wa Virunga Energies unatoka kwenye viwanda ambavyo ujenzi na uendeshaji hu heshimu mazingira. Tunaweka kwa wateja wetu mita zenye kulipia umeme kabla ya utumiaji zinazo ruhusu mteja ku fwa tiliya matumizi ya umeme na kutumia kwa busara.

   

 • 02
  Umeme yenye kuaminika
 • 02
  Umeme yenye kuaminika

  Tunatoa umeme thabiti na unaopatikana muda wote, kukatika kwa umeme kunapangwa siku kadhaa kabla na wateja wanaarifiwa

 • 03
  Umeme kwa bei rahisi
 • 03
  Umeme kwa bei rahisi

  Bei ya uunganishaji  na ya kununua kilowati zimewekwa na lengo la kufanya umeme rahisi kupata kwa watu wengi hata wale wenye pato ndogo.

   

Ofa yetu

Beyi ya umeme hu badilika ku fwatana na aina ya umeme na eneo ya mteja. Ila, beyi za baki rahisi ili ku ruhusu watu wengi kupata umeme.

Aina ya umeme Beyi ya raccordement Beyi ya kWh
Awamu moja Kati ya 143$ na 173$ pamoja na kodi zote 0.25$ pamoja na kodi zote
Awamu tatu 226$ 0.25$ pamoja na kodi zote
Shurti ili kupata umeme

Utaratibu wa kuunganisha ni mfupi na bei ni rahisi ili kuwezesha idadi kubwa ya kampuni  kupate umeme. Ili kufaidika na muunganisho, masharti yafuatayo lazima yakamilishwe:

 • Nyumba kuwa kwa umbali usio zidi 50m na nguzo ya kugawa umeme (poteau de raccordement)
 • Kusaini kibarua cha kuomba umeme
 • Kuonyesha karatasi ya utambulisho na umiliki wa udongo (pièce d’identité, titre d’occupation parcellaire) pia na mchoro wa namna ufungaji wa umeme ume fanyika (schéma unifilaire)
 • Kuwa na uwezo waku lipa pesa ili kupata umeme

* Kwa zaidi ya mita 50 za umbali, uunganisho inawezekana kwa kulipa gharama ya zaidi

Wasiliana nasi

Jina(Required)