Zaidi ya bei rahisi ya kupangisha ($0.4/m² mjini Mutwanga na 0.7 $/m² katika eneo la Goma) na upatikanaji wa maji na umeme pamoja na hakikisho la usalama, mteja hufanikiwa na.
Kutokana na ushirikiano kati ya Virunga na Benki ya Equity BCDC: mkopo hutegemea ukubwa wa kampuni na sekta yake ya shughuli. Makampuni kadhaa makubwa, hadi sasa, ya faidika na mpango huu kwa mikopo ya hadi $200,000.
Kiwango cha riba cha kila mwezi ni 0.8% ya kiasi kinachobakia na marejesho hufanywa kwa njia ya manunuzi ya umeme (kwa kila ununuzi wa umeme, sehemu ya jumla hutengwa kwa ulipaji wa mkopo na iliyobaki kwa umeme kulingana na kiwango cha makubaliano kati ya Virunga Development na mteja).
Masharti kwaku pata umeme yanajadiliwa na kuwekwa kwa msingi wa upeke wa kila kampuni ku fwatana na:
Beyi ya raccordement | Beyi ya kWh | Gharama ya kuhifadhi | |
Voltage ya kati – 33 kV | Ku fwatana na makadirio ya bei toka Virunga Energies | 0.1486$ / kWh | $42.2 kwa kuhifadhi kilowati 1 kwa mwaka |
Fungua