Tunapatia wateja wetu umeme unao heshimu mazingira, waku aminika na wa bei rahisi

    01
    Umeme unao heshimu mazingira
  • 01
    Umeme unao heshimu mazingira

    Umeme wa Virunga Energies unatoka kwenye viwanda ambavyo ujenzi na uendeshaji hu heshimu mazingira. Tunaweka kwa wateja wetu mita zenye kulipia umeme kabla ya utumiaji zinazo ruhusu mteja ku fwa tiliya matumizi ya umeme na kutumia kwa busara.

     

  • 02
    Umeme yenye kuaminika
  • 02
    Umeme yenye kuaminika

    Tunatoa umeme thabiti na unaopatikana muda wote, kukatika kwa umeme kunapangwa siku kadhaa kabla na wateja wanaarifiwa.

  • 03
    Umeme kwa bei rahisi
  • 03
    Umeme kwa bei rahisi

    Bei ya uunganishaji  na ya kununua kilowati zimewekwa na lengo la kufanya umeme rahisi kupata kwa watu wengi hata wale wenye pato ndogo.

Ofa yetu

Virunga Energies ya changia kukuza biashara na viwanda jimboni Kivu Kaskazini. Kya hiyo, ya towa umeme bora na yaku aminika kwa viwanda na wafanyabiashara kwa bei rahisi.

Beyi ya Umeme

Aina ya umeme Beyi ya raccordement Beyi  ya kWh
Awamu moja 123$ Bila kodi 0.235$ pamoja na kodi zote
Awamu tatu 226$ Bila kodi 0.235$ pamoja na kodi zote
Shurti ili kupata Umeme

Utaratibu wa kuunganisha ni mfupi na bei ni rahisi ili kuwezesha idadi kubwa ya kampuni  kupate umeme. Ili kufaidika na muunganisho, masharti yafuatayo lazima yakamilishwe:

  • Kampuni (Kiwanda) kuwa kwa umbali usio zidi 50m na nguzo ya kugawa umeme (Poteau de raccordement)
  • Kusaini kibarua cha kuomba umeme
  • Kuonesha kikaratasi toka ofisi jimboni ya Umeme kinacho ruhusu uchukue umeme
  • Kuonyesha karatasi ya utambulisho na umiliki wa udongo (pièce d’identité, titre d’occupation parcellaire) pia na mchoro wa namna ufungaji wa umeme ume fanyika (schéma unifilaire)
  • Kuwa na uwezo waku lipa pesa ili kupata umeme

* Kwa zaidi ya mita 50 za umbali, uunganisho inawezekana kwa kulipa gharama ya zaidi

Jina(Required)